Habari kuhusu Afya kutoka Oktoba, 2016
Picha za Mtandao wa Instagram Zaonesha Ukungu Unavyoifunika Khabarovsk

Wakazi wa Khabarovsk, mji ulioko Mashariki ya Mbali nchini Urusi, wamekuwa wakikaa ndani au kulazimika kuficha nyuso zao wanapokwenda nje tangu ukungu mzito kuufunika mji wao tangu Jumanne.