Habari kuhusu Afya kutoka Mei, 2016
Mbeki Rais wa Mstaafu wa Afrika Kusini Bado Anaamini ‘Mambo ya Ajabu’ Kuhusu UKIMWI/VVU
Mbeki amekosolewa kwa kuandika barua inayokanusha kwamba hajawahi kusema kuwa 'VVU havisababishi UKIMWI'. "Nilichosema ni kwamba 'virusi hivyo havisababishi upungufu wa kinga'."