Habari kuhusu Afya kutoka Juni, 2017
Baada ya Tishio la Ebola Kuondoka, Marekani Yalitaka Kundi La Wahamiaji Kutoka Afrika Magharibi Kurejea Makwao
Waliingia Marekani kwa mujibu wa sheria kama watu waliotoka kwenye nchi zenye migogoro. Sasa, mgogoro umekweisha, lakini imekuwa vigumu kwao kurudi nyumbani.