Habari kuhusu Afya kutoka Aprili, 2015
‘Kulea Mtoto Ukiwa Mtoto': Idadi Kubwa ya Mimba za Utotoni Nchini Venezuela
Desireé Lozano, anayeblogu kwenye blogu ya Voces Visibles, anatoa mwito kwa ongezeko kubwa la mimba za utotoni nchini Venezuela, ambapo asilimia 25 ya mimba ni za vijana, na kukosekana kwa...
Namna ya Kuwafanya Wagonjwa wa Ebola Waone Nyuso za Wahudumu Wao Nchini Liberia
Fikiria kuwa hospitalini ukiugua maradhi yanayochukua maisha ya watu wnegi na huwezi kuona nyuso za wale wanaokuhudumia. Hicho ndicho kile ambacho Mary Beth Heffernan alijaribu kukibadili.