Mradi wa Nguzo ya Kuokoa Utoto, uliobuniwa na serikali ya Australia, umezinduautafitiukosefu wa msaada wa kijamii, elimu, furasa na ulinzi” kwa kuendelea kwa vitendo vya kuwadhalilisha watoto. Utafiti huo pia umeonyesha namna kusafiri na utalii “ni hatari nyingine inayochangia shida za kudhalilishwa zinazowakumba watoto.” Utafiti huo ulihusisha nchi za Thailand, Kambodia, Laos na Vietnam.