Habari kutoka 4 Julai 2014
Mazungumzo ya GV: Kura ya Maoni Inayoongozwa na Raia wa Hong Kong Kuhusu Haki ya Upigaji Kura
Jifunze kuhusu zoezi la kura ya maoni iliyoongozwa na raia wa Hong Kong kwenye mazungumzo yetu ya moja kwa moja na Oiwan Lam, Mhariri wetu wa Global Voices China.
Je, Tunaweza Kuwasaidia Wazee kwa Kuwakumbatia? Kampeni hii ya India Yasema ‘Ndio!’
Kampeni ya KUKUMBATIA inafanya kazi kuunganisha pengo ya umri kati ya vijana na wazee katika juhudi za kupunguza hali ya kuwatenga wazee nchini India.
Udhalilishaji wa Kijinsia wa Watoto Wanaotalii Asia ya Mashariki
Mradi wa Nguzo ya Kuokoa Utoto, uliobuniwa na serikali ya Australia, umezinduautafitiukosefu wa msaada wa kijamii, elimu, furasa na ulinzi” kwa kuendelea kwa vitendo vya kuwadhalilisha watoto. Utafiti huo pia...
Namna Teknolojia Inavyosaidia Watu Kujifunza —na Hata Kuokoa—Lugha za Dunia

Waleta mabadiliko sasa wanatumia nguvu ya teknolojia kujaribu kuziokoa lugha zilizo kwenye hatari ya kupotea, na kwa nadra, kuzifufua lugha zilizokwisha kufa.
Mwanablogu wa Kibahraini Takrooz Akamatwa
Mtumiaji wa mitandao ya kijamii wa Kibahraini Takrooz amekamatwa kwa madai ya "kuchochea chuki dhidi ya utawala" kwenye mtandao wa Twita.