· Novemba, 2013

Habari kuhusu Guatemala kutoka Novemba, 2013

Wimbi la Ukatili Dhidi ya Waandishi wa Habari Nchini Guatemala

Mwandishi wa habari wa Guatemala Carlos Alberto Orellana Chávez alipigwa risasi mnano Jumatatu Agosti 19, 2013, yeye ni mwandishi wa habari wa nne kuuawa nchini...

“Maendeleo kwa Akina Nani?” Wa-Guatemala Wapinga Mradi wa umeme wa Maji

“Maendeleo kwa ajili ya nani? Je, fedha zitabaki katika jamii? Hapana, inaendelea kujaza mifuko ya wengine, na tutaendelea kuishi katika umaskini. Sisi ni tunacho uliza...