Unaona lugha zote hapo juu? Tunatafsiri habari za Global Voices kufanya habari za kidunia zimfikie kila mmoja.

Habari kuhusu Puerto Rico (Marekani) kutoka Juni, 2014

30 Juni 2014

Ni Rasmi Sasa, ‘Shoga’ wa Kwanza Kuteuliwa Kuwa Jaji wa Mahakama Kuu Nchini Puerto Rico

Wakati wengine wakina kuwa usagaji wake si suala la maana, wengine wanasisitiza kuwa hali hiyo ya kimapenzi inahusika katika kile anachokifanya kila siku.