Unaona lugha zote hapo juu? Tunatafsiri habari za Global Voices kufanya habari za kidunia zimfikie kila mmoja.

Habari kuhusu Puerto Rico (Marekani) kutoka Julai, 2016

19 Julai 2016

Matangazo ya Sauti ya ‘Wiki Ilivyokwenda’ Global Voices: Ndugu, Timiza wajibu Wako: Uhuru, Si Udhibiti

Wiki hii tunakuchukua mpaka Puerto Rico, Kashmir, jimbo linalotawaliwa na India, Nepal, China na Myanmar.