Habari kuhusu Urusi kutoka Februari, 2013
Wakati Papa Anajiuzulu, Warusi Wajiuzulu kwa Putin

Pasipokutaka kujua matokeo ya kujiuzulu kwa Papa Benedict na athari yake kwa imani ya Kikatoliki au tafsiri ya hatua hiyo kufuatia kashfa ya udhalilishaji iliyowakabili kwa watawa, RuNet walioweka habari hiyo kwenye safu za vichekesho.