Habari kuhusu Urusi kutoka Julai, 2018
Wanaharakati Dhidi ya Rushwa Nchini Urusi Wafungwa kwa “Kuchochea Maandamano” kwa Walichokiandika kwenye Mtandao wa Twita

"...hapa tena tunashuhudia mkutano ukiandaliwa kwa kupitia mtandao wa Twita. Inavyoonekana wakati huu watajikuta wanamkamata kila mtu."