Habari kuhusu Urusi kutoka Machi, 2014
Namna 10 Ambazo Warusi na Wa-Ukraine Walivyopokea Hotuba ya Putin Kuichukua Crimea

Vyovote mtu anavyojisikia kuhusu suala la Crimea, hotuba [ya Putin], ilikuwa ya kihistoria, na ndiyo ambayo wanablogu waliipokea kwa gumzo, kama ilivyo kawaida yao mtandaoni.
Je, Mwigizaji Maarufu Urusi Amempinga Vladimir Putin?

Nchini Urusi, ni nadra sana kwa yeyote anayeonekana mara kwa mara kwenye televisheni kumkosoa , achilia mbali kumpinga Vladimir Putin. Lakini je, Khabensky alithubutu?
Maandishi ya Facebook Kukosoa Kuivamia Crimea Yamgharimu Mwandishi Ajira

Warusi wanauliza ikiwa Putin anaweza kwenda "kuwavamia" na wao, kama hiyo inamaanisha kuongeza mafungu ya fedha kwa ajili ya majimbo yaliyosahaliwa
Matukio ya Ghasia Zinazofanywa na Majeshi ya Urusi nchini Ukraine
Blogu maarufu ya “Tafsiri za Maida ilichapisha bandiko la mtandao wa Facebook la Dmitry Tymchuk, Mkuu wa Kituo cha Ukraine cha Stadi za Siasa za Kijeshi, linaloeleza matukio ya ghasia...
Aliyoyaandika Waziri Mkuu wa Urusi Medvedev Kwenye Mtandao wa Facebook Kuhusu Ukraine

Waziri Mkuu wa Urusi Medvedev amechagua eneo lisilotarajiwa kusemea tamko lake kuhusu Yanukovich na namna anavyoiona hali ya uongozi wa kisiasa iliyopo Ukraine.