Habari kuhusu Thailand kutoka Disemba, 2013
Sababu za Ajali Barabarani Mjini Bangkok
Cha kushangaza, polisi mjini Bangkok, Thailand wanadai kwamba asilimia 30 ya ajali za barabarani husababishwa na ‘magari yasiyostahili kuwa barabarani’ wakati yanayo endeshwa kasi ni asilimia 5 ya ajali. Mwandishi...