Habari kuhusu Sanaa na Utamaduni kutoka Agosti, 2012
Mfumo wa Kipekee wa Kuwapa watoto Majina wa Nchini Myanmar (Burma).
Raia wengi wa Myanmar hawana majina ya ukoo. Je, umewahi kujiuliza wanajaza vipi fomu zinazowadai kujaza majina yao ya mwanzo na ya ukoo, au hata kujiuliza kuwa 'Daw' ina maana gani katika jina la Daw Aung San Suu Kyi? Hapa tutatazama mtindo wa pekee kabisa wa Mynmar wa kutoa majina.