Habari kuhusu Sanaa na Utamaduni kutoka Aprili, 2015
Umoja wa Ulaya Hautatoa Nafuu ya Kodi ya VAT kwa Vitabu ya Kidigitali
Mnamo Machi 5, 2015, Mahakama ya Haki ya Umoja wa Ulaya ilitoa hukumu kwamba punguzo la kodi ya ongezeko la thamani (VAT) lililotolewa kwa vitabu vinavyochapishwa halitahusisha vitabu vya kidijitali,...
Mchora Katuni wa Malaysia Aapa Kuendelea Kupambana na Serikali Licha ya Kushitakiwa kwa Uchochezi

"Sitanyamaza. Ninawezaje kutokuwa na upande, wakati hata penseli yangu ina upande!"
Kudhibitiwa kwa Sanaa ya Michoro ya Uchi Kuna Maana Gani Kwetu na Mitandao ya Kijamii?

Makala haya ni sehemu ya kwanza ya mfululizo unaoangazia namna tofauti za ufuatiliaji wanazokabiliana nazo wasanii mtandaoni. Msingi wetu utakuwa uzoefu wa msanii wa Venezuela Erika Ordisgotti.
‘Msanii wa Uke’ Nchini Japani Akana Mashitaka ya Ukiukaji wa Maadili
Msanii wa Kijapani Megumi Igarashi, anayeitwa kwa jina la utani "Msanii wa uke" na vyombo vya habari vya Magharibi, anasema sanaa yake inayotokana na sehemu zake za siri haivunji maadili.
Mbali na Kusikia Habari za Boko Haram Nchini Niger, Fahamu Jangwa la Ténéré

Niger ipo katika vita na Boko Haram. Tusilisahau hili, hata hivyo, Niger ni mahali palipo na miradi mingi na pia ni eneo lililosheheni utajiri mwingi wa asili pamoja na ushairi.