Habari kuhusu Marekani ya Kaskazini kutoka Mei, 2015
Ngono, Dini na Siasa Vinapokutana Kwenye Onesho la ‘Sidiria ya Kimalaya’
Mmarekani mwenye asili ya Pakistani Aizzah Fatima amelipa umaarufu onesho lake kwenye maeneo mbalimbali katika miaka ya hivi karibuni. Jina la onesho lenyewe linaonekana kama tusi kwa wengine. Onesho linaitwa: Sidiria ya Kimalaya.