Habari kuhusu Marekani ya Kaskazini kutoka Mei, 2014
Video ya Dakika 5, Yaweza Kuwa Tiketi Yako ya Kwenda Mjini New York
Muungano wa Ustaarabu wa Umoja wa Mataifa (UNAOC) inawaalika vijana chini ya umri wa miaka 25 kuwasilisha video walizozitengeneza wenyewe zenye urefu wa dakika 5 juu ya uhamiaji, tofauti na...