Habari kuhusu Marekani ya Kaskazini kutoka Februari, 2015
Chemsha Bongo: Je, Uko Kwenye Hatari ya Kugeuka Gaidi?
Chemsha bongo hii imeandaliwa kwa kutumia utafiti unaofanywa na serikali ya Marekani unaotumiwa kuwabaini watu wenye hatari ya kuwa magaidi au jamii zilizokwenye hatari ya kukumbatia na kuleta itikadi zenye msimamo mkali.