· Novemba, 2008

Habari kuhusu Marekani ya Kaskazini kutoka Novemba, 2008

Iraki:OBAMAAAAA!!! Huraaah Oyee!!

Hivyo ndivyo asemavyo Neurotic Iraqi Wife. Kwa ujumla blogu nyingi za Iraki zimemchukulia vyema rais mteule Obama, lakini sio wanablogu wote waliofurahia. Salam Adil anaorodhesha maoni baada ya Uchaguzi wa rais huko Marekani.

9 Novemba 2008