Habari kuhusu Honduras kutoka Julai, 2014
Honduras Yazalisha Ajira kwa Kuhamasisha Shughuli za Jamii
Rais wa Honduras Juan Orlando Hernandes amezindua mpango wa “Desarrollemos Honduras” (Tuiendeleze Honduras), na maofisa na jamii walishiriki katika tukio hilo. Hernandes alieleza kwamba kama nyumba imebomoka au sakafu yake...