Habari kuhusu Upiga Picha kutoka Januari, 2016
Waganda Wamchimba Rais Wao Museveni Kwa Picha za Miaka 30 Iliyopita!
Wakati Rais Museveni anatafuta kuchaguliwa tena kuwa rais kwa awamu ya sita, wa-Ganda wanakumbushana walikokuwa miaka hiyo -- na kutokurishwa na siasa za nchi hiyo.