Habari kuhusu Upiga Picha kutoka Disemba, 2013
Misri: Picha 27 kutoka Hala'ib
Mwanablogu Mmisri, Zeinobia, amesambaza onyesho hili la picha kutoka Hala'ib, bandari na mji katika mwambao wa Bahari ya Shamu, kwenye Pembetatu ya Hala'ib, karibu na mpaka wa Sudan: Tazama...