Habari kuhusu Upiga Picha kutoka Mei, 2014
Naijeria: Kampeni ya #Bringourgirlsback
Katikati ya mwezi Aprili, zaidi ya wasichana 200 wa shule walitekwa nyara kutoka shule ya sekondari iliyoko eneo la Chibok, Naijeria, kitendo kinachodaiwa kufanywa na Boko Haram, kundi la...