Habari kuhusu Upiga Picha kutoka Mei, 2013
‘Igundue Somalia’ Blogu ya Picha na Utamaduni
Igundue Somalia ni blogu ya Picha na Utamaduni maalumu kwa Somalia. Blogu hiyo inakusudia kutangaza vyema sura sahihi ya Somalia kwenye vyombo vya habari na vipaji vya watu wake, masuala...