· Septemba, 2013

Habari kuhusu Upiga Picha kutoka Septemba, 2013

Kubusiana Kwenye Mitaa ya Misri

Picha inayosambazwa katika mtandao wa Facebook inayowaonyesha vijana wawili raia wa Misri wakibusiana barabarani iliibua hasira na wengine kuipenda. Ilitolewa na Ahmed ElGohary, mtangazaji aliyepingwa kwa ‘kukosa utu uzima’ kwa sababu ya kuweka picha ya jinsi...