Habari kuhusu Habari za Wafanyakazi kutoka Februari, 2014
PICHA: Vyama vya Wafanyakazi na Asasi za Kiraia Vyaandaa Mgomo
Huku ukiwa umepangiliwa ufanyike mwanzo wa kipindi cha pili cha Rais Park Geun-hye madarakani, takribani wa-Korea elfu 40 (polisi wanadai ni elfu 15) walifanya mgomo nchini kote. Mgomo huo, ulipangwa...