Habari kuhusu Habari za Wafanyakazi kutoka Julai, 2014
10 Julai 2014
Mwanamke wa Ivory Cost Aangushwa Kutoka Ghorofa ya Sita kwa Kudai Mishahara yake
Msichana mwenye asili ya Ivory Coast alipoteza maisha kutokana na kile kilichotaarifiwa kuwa alisukumwa na mwajiri wake na kuanguka kutoka ghorofa ya 6 ya jengo...