Habari kuhusu Habari za Wafanyakazi kutoka Februari, 2015
Raia wa Masedonia Watumia Sheria ya Uhuru wa Habari Kupinga Sheria Mpya ya Wafanyakazi
Baadhi ya wafanyakazi wasio na mikataba y kudumu pamoja na wale walio na mwajiri zaidi ya mmoja walizuiwa kupokea mishahara yao ya mwezi Januari kwa mujibu wa sheria mpya za kodi na utoaji wa ada. Waandamani wana lengo la kuweka bayana namna serikali isivyokuwa na utaratibu mzuri wa kutekeleza sheria hizi.