Habari kuhusu Habari za Wafanyakazi kutoka Disemba, 2013
“Mimi ni Mchuuzi Mjerumani Mjini Dakar”
Muda mfupi baada ya kuwasili kwangu Senegal, nilikutana na kijana. Alinieleza hamu yake ya kuondoka Senegal katika mkutano wetu wa kwanza. Nilitaka kuelewa yaliyosababisha hamu yake ya kuondoka na hali...