Habari kuhusu Habari za Wafanyakazi kutoka Januari, 2010
Lebanoni: Matukio ya Wafanyakazi Kujiua ‘Yanadharauliwa’
Matthew Cassel anaripoti tukio la kujia la Theresa Seda, mfanyakazi wa ndani wa Kifilipino jijini Beirut. Soma habari za kina za kutisha za jinsi vifo vya namna hiyo vinavyoongezeka kwa...