Habari kuhusu Habari za Wafanyakazi kutoka Novemba, 2013
VIDEO: “Wao Hufanya kazi na kufa”, Ugonjwa Usioeleweka Yawaua Wafanyakazi wa Miwa wa Amerika ya Kati
Wafanyakazi ambao hukata miwa na mazao mengine katika tambarare ya pwani ya Amerika ya Kati na wamekumbwa na ugonjwa wa ajabu: Kutoka Panama hadi kusini mwa Mexico, wafanyakazi wamashikwa na...