· Aprili, 2013

Habari kuhusu Michezo ya Olimpiki kutoka Aprili, 2013

Bahrain: ‘Kususia michezo ya Olimpiki’

Wa-Bahraini wengi wanatoa mwito wa kususuia michezo ya Olympics. Kwanza, mwana wa mfalme, ambaye amekuwa akituhumiwa kwa kujihusisha na utesaji wa wanariadha, anahudhuria michezo hiyo. Pili, sehemu kubwa ya timu ya nchi hiyo imetengenezwa na wanariadha wa ki-Afrika.

11 Aprili 2013