Habari kuhusu Sauti Chipukizi kutoka Novemba, 2013

Mkutano wa Global Kampala, Uganda

  25 Novemba 2013

Mkutano wa Global Voices umepangwa kufanyika Novemba 23 jijini Kampala, Uganda, kuwaleta pamoja wanachama wa jamii hii kushirikisha mawazo.

Mkutano wa Global Voices Cairo, Misri

  16 Novemba 2013

Mkutano mwingine wa Global Voices unapangwa kufanyika Novemba 16 jijini Cairo, Misri. Tafadhali shiriki na wanachama wetu wa Jumuiya ya GV kwa kusanyiko hili maalumu.