Habari kuhusu Sauti Chipukizi kutoka Machi, 2017
Miradi Ifuatayo Inalenga Kuifanya Simu yako Ikusemeshe kwa Kiswahili
Kiswahili ni lugha ya pili kuzungumzwa zaidi barani Afrika. Hata hivyo, mfumo wa utambuzi wa sauti bado haupatikani katika lugha hiyo, na kuwanyima watumiaji wengi taarifa wanazozihitaji.