Habari kuhusu Sauti Chipukizi kutoka Septemba, 2008

Nia ya Mwanablogu Mmoja Kumsaidia Mtoto Kamba huko Madagaska

  6 Septemba 2008

Ikiwa unataka kwenda sambamba na habari mpya mpya kutoka Madagaska, inawezekana kabisa ukawa ni msomaji wa Madagascar Tribune. Na kama wewe ni mdau wa gazeti hilo, hivi karibuni yawezekana ulishakutana na habari iliyoandikwa na mwandishi wa habari Herimanda R kuhusu upasuaji wa maradhi ya nadra na mafanikio yake ambao ulifanyika...