makala mpya zaidi zilizoandikwa na Global Voices in Swahili
Baada ya Magufuli, Tanzania itarekebisha sheria kandamizi za maudhui ya mtandaoni?
Kanuni za maudhui ya mtandaoni nchini Tanzania zinatumiwa kuminya na kubana haki za matumizi ya mtandao na uhuru wa kujieleza. Je, kuapishwa kwa Rais mpya kutabadili sheria hizi kandamizi?
Nchini Tanzania, Serikali kukanusha uwepo wa UVIKO -19 kwawanyima wananchi taarifa muhimu za afya
Tangu mwezi Machi 2020, serikali ya Tanzania imenyamaza kuhusu virusi vya korona na hakuna takwimu zozote zinatolewa kuhusu maambukizi ya ugonjwa huo au vifo.
Masikini Nchini Jordan Wanaweza Kukosa Maji Juma Zima, Ilihali Matajiri Wanapata Maji muda Wote
"Tungepata maji mara mbili kwa juma, wakati mwingine kipindi cha kiangazi kiasi hicho hakitoshi hata kutuvusha kwa wiki moja..."
‘Bustani’ Shirikishi Inayotumia Matangazo ya Radio Kukuwezesha Kuzuru Ulimwengu
Tangu mwishoni mwa 2016, Radio jumuishi iitwayo 'Bustani' imewawezesha watumiaji kutembelea dunia yote kupitia matangazo ya radio.
Namna ya Kuandika kwa Ajili ya GV
Mambo ya Kuzingatia Unapoandika Habari ya GV Kabla ya kutuma andiko lako kwa ajili ya uhakiki, angalia maeneo yafuatayo: Kichwa cha habari: Je, wasomaji watavutiwa na kichwa hicho cha habarina...