Global Voices in Swahili · Januari, 2021

Anwani ya Barua Pepe Global Voices in Swahili

makala mpya zaidi zilizoandikwa na Global Voices in Swahili kutoka Januari, 2021

Nchini Tanzania, Serikali kukanusha uwepo wa UVIKO -19 kwawanyima wananchi taarifa muhimu za afya

Tangu mwezi Machi 2020, serikali ya Tanzania imenyamaza kuhusu virusi vya korona na hakuna takwimu zozote zinatolewa kuhusu maambukizi ya ugonjwa huo au vifo.