makala mpya zaidi zilizoandikwa na Global Voices in Swahili kutoka Aprili, 2018
Masikini Nchini Jordan Wanaweza Kukosa Maji Juma Zima, Ilihali Matajiri Wanapata Maji muda Wote
"Tungepata maji mara mbili kwa juma, wakati mwingine kipindi cha kiangazi kiasi hicho hakitoshi hata kutuvusha kwa wiki moja..."
‘Bustani’ Shirikishi Inayotumia Matangazo ya Radio Kukuwezesha Kuzuru Ulimwengu

Tangu mwishoni mwa 2016, Radio jumuishi iitwayo 'Bustani' imewawezesha watumiaji kutembelea dunia yote kupitia matangazo ya radio.