Habari kutoka na

Picha za Mabaki ya Ndege ya Shirika la Algeria AH5017 Nchini Mali Yaonyesha Ghasia, Kuanguka kwa Ghafla

VERY FIRST images of #AH5017 #AirAlgerie trickling out, via @AirLiveNet http://t.co/4pKox7rgjn pic.twitter.com/rngGTv7Rbs — Jason Morrell (@CNNJason) July 25, 2014 PICHA ZA KWANZA za ndege ya AH5017 ya Shirika la Ndege la Algeria ikianguka, kupitia @AirLiveNet Kipande cha kwanza cha video cha ajali ya ndege sasa kinapatikana. Tunamshukuru mwanajeshi wa Burkina...

Maandamano Makubwa Yafanyika huko Guangzhou, China

  12 Juni 2014

Mamia ya wakazi wa Guangzhou jana mchana walikusanyika huko Sanyuanli kupinga hatua ya polisi ya kutaifisha mali binafsi za watu kwenye bohari kama sehemu ya harakati za kukabiliana na majanga ya moto. Waandamanaji walijikuta wakikabiliana vikali na polisi, na baadae, wakati wa vurugu hizo, waandamanaji walifikia hatua ya kupindua magari...

Naijeria: Kampeni ya #Bringourgirlsback

  Katikati ya mwezi Aprili, zaidi ya wasichana 200 wa shule walitekwa nyara kutoka shule ya sekondari iliyoko eneo la Chibok, Naijeria, kitendo kinachodaiwa kufanywa na Boko Haram, kundi la kigaidi lililoko katika eneo la kaskazini mwa nchi hiyo. Ingawa baadhi ya wasichana 57 wameweza kutoroka, bado wengine wengi wako...