Habari kuhusu Filamu kutoka Februari, 2009
India: Filamu ya Slumdog Millionaire Yanyakua Tuzo za Oscar
Filamu ya Danny Boyle, Slumdog Millionaire, iliyotokana na kitabu chenye maudhui ya India imefanya vyema katika sherehe za 81 za tuzo ya Academy. Wahusika wake kutoka Uingereza na India walitia...