Habari kuhusu Filamu kutoka Novemba, 2014
Waandamanaji Wavamia Ukumbi wa Sinema na Kusema ‘Hunger Games’ Inaendelea Nchini Thailand
Wanafunzi wa ki-Thai jijini London waliandamana nje ya ukumbi uliokuwa unaonesha filamu maarufu ya "The Hunger Games," wakitaka masuala yanayotishia demokrasi nchini mwao yamwulikwe.