Habari kuhusu Filamu kutoka Machi, 2014
Je, Mwigizaji Maarufu Urusi Amempinga Vladimir Putin?
Nchini Urusi, ni nadra sana kwa yeyote anayeonekana mara kwa mara kwenye televisheni kumkosoa , achilia mbali kumpinga Vladimir Putin. Lakini je, Khabensky alithubutu?