Habari kuhusu Filamu kutoka Septemba, 2013
VIDEO: Shairi la Filamu “Maombi ya Woga” Latia Fora Misri
Mkusanyiko wa kiraia la Misri Mosireen umekuwa, bila kuchoka, ukiweka kumbukumbuza Mapinduzi ya Januari 25 na matukio yaliyofuata baadae kwa kutumia picha na dokumentari. Moja ya ubunifu wake wa mwisho...