Habari kuhusu Kireno kutoka Julai, 2016
Shule Moja Nchini Timor-Lesté Kuwapiga Faini Wanafunzi Wanatakaoongea Lugha Rasmi ya Wenyeji
Wanafunzi ni lazima waongee Kireno wawapo shuleni. Wale ambao "hawataweza kuongea lugha hiyo" watalazimika kukaa kimya. Atakayekamatwa akizungumza lugha tofauti na Kireno "atapigwa faini".
Karibu Msumbiji, Ukutane na Serikali Inayofunga Kamera 450 Kukufuatilia
Kwa mujibu wa moja wapo ya magazeti yanayoaminika zaidi nchini Msumbiji, Canal de Moçambique, serikali imeanza kufunga kamera 450 za usalama kwenye miji ya Maputo na Matola