Habari kuhusu Nchi za Visiwani kutoka Februari, 2019
Serikali ya Samoa Yamkamata Bloga Maarufu ‘Mfaume Faipopo’ kwa Tuhuma za Kumkashifu Waziri Mkuu

"Sheria mpya, ambayo imetokana na sheria ya zamani ya maandishi ya kukashfu, tangu ukoloni, imewasukuma viongozi wa Samoa kugeuka na kuangalia nyuma badala ya kuangalia mbele."
Australia Waikumbuka Jumamosi Nyeusi kwa Kuadhimisha Miaka 10 ya Janga la Moto wa Nyika
"Miaka kumi kamili, na bado sidhani kama kuna siku imepita bila kuitaja – au hata kufikiria – tukio la moto"