Habari kuhusu Nchi za Visiwani kutoka Oktoba, 2014
Wenyeji wa Visiwa vya Pasifiki Waizuia Meli za Makaa ya Mawe Kupinga Mabadiliko ya TabiaNchi
Kwa kutumia ngalawa zilizotengenezwa kwa mkono, washujaa wa mabadiliko ya tabianchi, wakishirikiana na raia wa Australia, waliweza kuzuia meli 10 zilizokuwa zitumie bandari ya Makaa ya mawe ya Newcastle.