Wenyeji wa Visiwa vya Pasifiki Waizuia Meli za Makaa ya Mawe Kupinga Mabadiliko ya TabiaNchi

Photograph shows scenes from Newcastle Harbourthis morning where representatives from 12 Pacific Island nations came to raise awarness of climate change by blockading the movements of coal ships.Photograph by Dean Sewell/Oculi for 350.org.Photograph taken Friday 17th October 2014.

Picha ikionesha matukio kwenye bandari ya Newcastle ambapo wawakilishi wa mataifa 12 ya nchi visiwa vya Pasifiki walifika kupaza sauti ya uelewa wa mabadiliko ya tabia nchi kwa kuzuia safari za meli za makaa ya mawe. Picha imepigwa na Dean Sewell/Oculi wa 350.org. Ijumaa, 17 Oktoba 2014.

Makala haya yameandikwa na Aaron Packard kwa ajili ya  350.orgshirika linajenga harakati za tabianchi duniani, na imechapichwa kwa mara nyingine kwenye mtandao wa Global Voices kama sehemu ya makubaliano ya ushirikiano wa kimaudhui.

 Mashujaa wa 350.org wa tabianchi ya Pasifiki wamevamia bandari ya Newcastle, wakifuatwa na mamia wa wa-Australia na kupambana na meli kubwa za makaa yam awe mnamo ktoba 17. Tukio hilo linaweza kufananishwa na hadithi ya Daudi na Goliati.

Ujasiri wa mashujaa hao ulionekana pale walipokikabili kiwanda cha mabaki ya viumbe wa kale, ambacho kinaathiri makazi yao. Kwa kutumia ngalawa zilizotengenezwa kwa mkono, na kwa ushirikiano wa makumi ya wenyeji wa Australia, waliweza kuzuia meli kumi zilizokuwa zimepangwa kupita kwenye bandari ya Newcastle. Lakini lililo muhimu zaidi, mashujaa hao walisimama na ujumbe wao ulisikika vyema na kwa ufanisi: hawakuwa wakileta vurugu wala kupambana.

Kadri mashujaa hao wanavyoendelea na safari yao, hebu tusaidie kusimulie hadithi yao –sambaza habari yao kwa rafiki zake . Wataendelea kupambana, lakini hawawezi kushinda wakiwa peke yao. 

Hivi ndivyo ilivyokuwa: 

Photograph shows scenes from Newcastle Harbour where representatives from 12 Pacific Island nations came to raise awareness of climate change by blockading the movements of coal ships.Photograph by Jeff Tan for 350.org.Photograph taken Friday 17th October 2014.

Picha zikionesha hali ya mambo kwenye Bandari ya Newcastele mahali walikokuwepo raia wa nchi 12 zilizopo ndani ya bahari ya Pasifiki kwa lengo la kukuza uelewa wa mabadiliko ya tabia nchi kwa kuzuia safari za meli za makaa ya mawe. Picha imepigwa na Dean Sewell/Oculi wa 350.org. Ijumaa, 17 Oktoba 2014

Photograph shows scenes from Newcastle Harbour where representatives from 12 Pacific Island nations came to raise awareness on climate change by blockading the movements of coal ships.Photographs by Dean Sewell/Oculi for 350.org.Photograph taken Friday 17th October 2014.

Picha zinazonesha hali ya mambo kwenye bandari ya Newcastle ambapo raia wa nchi 12 zilizoko kwenye bahari ya Pasifiki walifika kukuza uelewa wa mabadiliko ya tabia nchi kwa kuzuia safari za meli za makaa ya mawe. Picha imepigwa na Dean Sewell/Oculi wa 350.org. Ijumaa, 17 Oktoba 2014.

Photograph shows scenes from Newcastle Harbour where representatives from 12 Pacific Island nations came to raise awareness on climate change by blockading the movements of coal ships.Photograph by Jeff Tan for 350.org.Photograph taken Friday 17th October 2014.

Picha zinazonesha hali ya mambo kwenye bandari ya Newcastle ambapo raia wa nchi 12 zilizoko kwenye bahari ya Pasifiki walifika kukuza uelewa wa mabadiliko ya tabia nchi kwa kuzuia safari za meli za makaa ya mawe. Picha imepigwa na Jeff Tan wa 350.org. Ijumaa, 17 Oktoba 2014.

Photograph shows scenes from Newcastle Harbour where representatives from 12 Pacific Island nations came to raise awareness on climate change by blockading the movements of coal ships.Photographs by Dean Sewell/Oculi for 350.org.Photograph taken Friday 17th October 2014.

Picha zinazonesha hali ya mambo kwenye bandari ya Newcastle ambapo raia wa nchi 12 zilizoko kwenye bahari ya Pasifiki walifika kukuza uelewa wa mabadiliko ya tabia nchi kwa kuzuia safari za meli za makaa ya mawe. Picha imepigwa na Dean Sewell/Oculi kwa ajili ya 350.org. Ijumaa, 17 Oktoba 2014.

Anza mazungumzo

Mwandishi, tafadhali jiandikishe »

Miongozo

  • Tafadhali wape heshima watumiaji wengine. Maoni yenye lugha ya chuki, matusi na mashambulizi binafsi hayataruhusiwa.