Habari kuhusu Asia ya Kati kutoka Mei, 2018
Wasomaji wa Global Voices wamefuatilia nini juma lililopita?
Wakati wa Juma la kati ya Mei 7-13, 2018, habari na tafsiri zetu zimefikia watu kutoka nchi 207. Nchi ya 61 kwenye orodha? Kazakhstan. Na namba 19? Indonesia.