Habari kuhusu Asia ya Kati kutoka Machi, 2017
Unamjua Muuaji Mkuu Nchini Georgia? Ni Barabara Zake
Mnamo Machi 22 huko Tbilisi, mama mmoja pamoja na mtoto wake wa kike waliokuwa wamesimama kando ya barabara waligongwa na gari. Msichana huyo wa miaka 11 alipoteza maisha papo hapo.