Habari kuhusu Habari za wenyeji kutoka Oktoba, 2012
Guatemala: Waandamanaji Wazawa 7 Wauawa Totonicapán
Raia wasiopungua 7 wameuawa, takribani watu 32 wamejeruhiwa na 35 walidhuriwa na sumu mnamo tarehe 4, Oktoba, 2012 wakati majeshi ya muungano yalipotumia nguvu kuwatawanya waandamanaji kutoka katika njia panda maarufu inayoeleka jiji la Guatemala City.